Politics 26 Jun 2023 Kenya ya Ruto: Ndoto ya pepo kwa hustlers imetimia? Picha: Rais William Ruto. Kwa Hisani ya BBC Na Paul Sewe UCHAGUZI Mkuu wa Kenya uliofanyika mwaka jana ulimalizika kwa ushindi wa Rais William Ruto na aliyekuwa mgombea mwenza wake, Rigathi Gachagua. Sasa miezi tisa imepita tangu ushindi wao huo lakini b EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 26 Jun 2023 Magufuli alishinda au Lowassa alipoteza 2015? Picha: Hayati Rais John Magufuli akisalimiana na Edward Lowassa katika mojawapo ya matukio ya kitaifa. Picha ya Ikulu Na Ezekiel Kamwaga MAJUZI nilikuwa nasikiliza Podcast ya The Rest is Politics kutoka nchini Uingereza na mada iliyozungumzwa ilinivutia. W EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 19 Jun 2023 Tatizo la Dk. Slaa Picha: Dk. Wilbrod Slaa. Kwa hisani ya The Citizen Na Ezekiel Kamwaga MWAKA 2015, akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa wanasiasa wanaoheshimika sana nchini Tanzania, Dk. Wilbrod Slaa, alitangaza kupingana na hatua ya EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 19 Jun 2023 Hadaa kama mbinu ya kivita: Mabadiliko ya Kagame Jeshi la Rwanda Picha: Rais Paul Kagame. Kwa hisani ya tovuti ya PML Daily Na Ezekiel Kamwaga All warfare is deception. Sun Tzu, The Art of War MOJAWAPO ya habari kubwa katika eneo la Afrika Mashariki mwezi huu ilikuwa ni mabadiliko makubwa kwenye sekta ya Ulinzi na U EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 19 Jun 2023 Yaliyomo na Waliyomo Upatanishi wa Afrika Ukraine Picha: Baadhi ya viongozi wa nchi za Afrika wanaoshiriki katika juhudi za upatanishi wa amani katika Vita ya Ukraine, wakiwa na Rais wa taifa hilo, Volodymyr Zelensky jijini Kiev wiki iliyopita. Viongozi wanaoonekana pichani ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (A AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 18 Jun 2023 Buriani Leila Sheikh: Mwandani na sikio la Bibi Titi Mohamed Picha: Leila Sheikh Khatib Na Mohamed Said WASOMAJI wangu, niruhusuni niweke meseji niliyomtumia Leila Sheikh tarehe 12 December 2022. (Mtaniwia radhi nimeifanyia uhariri kidogo ili ipate kueleweka kwa wasomaji). Wakati huo CCM na serikali yake walikuw EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 13 Jun 2023 Mkataba wa Bandari umeonesha rangi zao Picha: Sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam Na Ahmed Rajab KUMEKUWA na mijadala ya kushangaza nchini Tanzania tangu ibainike kwamba serikali yake inawasilisha bungeni Azimio la kujadili mkataba unaotarajiwa kutiwa saini baina yake na kampuni ya kimataifa ya EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 13 Jun 2023 Mwisho wa fungate ya Rais Samia Na Ezekiel Kamwaga MWANAFALSAFA wa Ufaransa, Alexis de Tocqueville, alipata kunukuliwa akisema; “the most dangerous moment for a bad government is when it begins to reform itself” (wakati wa hatari zaidi kwa serikali isiyo ya kidemokrasia ni wakati ikianza EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 5 Jun 2023 Nusu Muhula wa SUK Zanzibar: Mkanganyiko, Kutoaminiana na Matumaini Maelezo ya Picha: Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, akiongoza kikao cha mazungumzo ya Kamati ya Maridhiano ya Zanzibar kilichofanyika Ikulu ya Zanzibar hivi karibuni. Picha kwa Hisani ya Ikulu ya Zanzibar Na Ezekiel Kamwaga WAKATI Serikali ya Umoja w EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 5 Jun 2023 Chalamila na namna tunavyowatengeneza madikteta kwa midomo yetu Picha kwa hisani ya Gazeti la JAMHURI. Na Ezekiel Kamwaga KATIKA moja ya mikutano ya karibuni kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na wabunge wa Bunge la Tanzania, mmoja wa wabunge alisimama na kuzungumza maneno ya kumhakikishia Rais kwamba kwa mujibu wa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 5 Jun 2023 “Nilikutana na Saddam mara mbili baada ya kupinduliwa” Maelezo ya picha. Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab (kushoto), akisalimiana na Abu Mahdi al Muhandis, aliyekuwa Kaimu wa Mkuu wa Jeshi la Mgambo la al-Hashd al-Sha‘abi nchini Irak mnamo mwaka 2017. Na Ahmed Rajab MWANZONI mwa Oktoba, 2017, nilialikwa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 29 May 2023 Wasaliti ni wenye kupinga Muungano wa Mkataba Picha: Rais wa kwanza wa Zanzibar, Sheikh Abeid Amani Karume. Na Ahmed Rajab MENGI yameandikwa na mengi yataendelea kuandikwa kumhusu Sheikh Abeid Amani Karume, Rais wa mwanzo na wa pekee wa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambaye Aprili, 26, mwaka 1964 aliku EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa