Politics 19 Jul 2023 Jecha Na Ezekiel Kamwaga KIFO cha Jecha Salim Jecha kilichotokea jijini Dar es Salaam jana, kimemuondoa duniani mtu ambaye – kwa miaka mingi inayokuja, jina lake litanasabishwa na Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wa mwaka 2015 ambao – kinyume na matarajio ya wengi na EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 19 Jul 2023 Katika hili, Rais asiyumbe Na Ezekiel Kamwaga MWAKA 1978, Rais Julius Nyerere, alilazimika kufanya uamuzi mzito wa kuiingiza Tanzania vitani dhidi ya Uganda. Majeshi ya Nduli Idi Amin yalikuwa yameivamia ardhi ya Tanzania na kama Amiri Jeshi Mkuu, Baba wa Taifa hakuwa na namna zaidi EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 19 Jul 2023 Profesa Mohamed Hassan Abdulaziz: Mswahili aliyetambulika kimataifa kuwa gwiji wa isimu Picha: Shihabuddin Chiraghdin (kushoto) na Mohamed Hassan Abdulaziz (Kulia). Picha kwa Hisani ya Wanafamilia. Na Ahmed Rajab PROFESA Mohamed Hassan Abdulaziz aliyefariki dunia jijini Nairobi asubuhi ya tarehe 10 Julai akiwa na umri wa miaka 91 alikuwa gwi AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 12 Jul 2023 Kwa nini tatizo la Burundi ni tatizo letu? Picha: Picha ya pamoja kati ya Rais wa Burundi, Evariste Ndayishimiye na kiongozi wa chama cha upinzani cha CNL, Agathon Rwasa (kulia). Picha ya Al Jazeera: Ezekiel Kamwaga RIPOTI maarufu ya Taasisi ya Kimataifa ya ACCORD ya mwaka 2016 iliyoitwa Conflict in EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 12 Jul 2023 Rwasa: Tatizo ni kuwa hatujajua Uhuru maana yake nini Picha: Kiongozi wa Upinzani nchini Burundi, Agathon Rwasa, akizungumza na Mhariri wa Gazeti la Dunia, Ezekiel Kamwaga, katika mahojiano maalumu yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Picha ya Maktaba. Na Ezekiel Kamwaga KIONGOZI wa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 12 Jul 2023 Matumizi sahihi ya lugha na upeo wa fikra Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akizungumza kwenye Baraza la House of Lords jijini London Julai 5, 2023. Hapa alikuwa akitoa mada kuhusu Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Kiswahili. Picha kwa Hisani ya Karam Bharij. Na Ahmed Rajab JUMATANO ya wiki il AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 12 Jul 2023 Balozi Ali Karume: Mzingile Picha: Picha ya pamoja ya Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, na Balozi na Waziri Mstaafu, Ali Karume. Kwa Hisani ya Jambo TV. Mzingile ni tafsiri ya Kiswahili ya neno labyrinth Na Ezekiel Kamwaga SAKATA la mwanasiasa na mwanadiplomasia mwandamizi wa Zan EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 5 Jul 2023 Pingpong porini na Savimbi Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab, akiwa kwenye handaki eneo la Jamba, Angola, ilikokuwa kambi ya kijeshi ya kundi la waasi la UNITA. Kunradhi kwa mwonekano wa picha. Mazingira ya ndani ya handaki yamefinya mwonekano. Picha kwa hisani ya Ahmed Rajab. N AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 5 Jul 2023 Bandari: Maneno yameonyesha rangi zetu Sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam. Picha ya gazeti la serikali la Daily News. Na Ezekiel Kamwaga KAMA kuna kitu ambacho mjadala kuhusu uwekezaji unaopangwa kufanywa kwenye bandari za Tanzania na kampuni ya DP World kutoka Dubai umefanikiwa kufanya ni kufi EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 5 Jul 2023 Akina Nshala na ushindi wa Pyrrhic Wakili Rugemeleza Nshala. Picha kwa hisani ya Katiba TV Na Ezekiel Kamwaga MARA nyingi huwa nafanya rejea kupitia maandishi ya hayati Profesa Samuel Huntington wa Marekani. Katika kitabu chake cha mwaka 1993, The Third Wave: Democratization in the Late Twe EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 26 Jun 2023 Vumbi la Prigozhin limetanda hadi Afrika Picha: Prighozin na vikosi vya Wagner barani Afrika. Picha ya jarida la Foreign Affairs Na Ahmed Rajab PAKIZUKA zahama kama zile za Jumamosi iliyopita zilizozushwa na Yevgeny Prigozhin, kiongozi wa Kundi la Wagner, si uzuri mtu kukurukupwa na kuanza kusema AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 26 Jun 2023 Putin na Prighozin: Mafunzo Picha: Putin na Rasputin. Picha ya Washington Times Na Ezekiel Kamwaga TUKIO la mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo vikosi vya majeshi ya mamluki wa Wagner Group vinavyoongozwa na Yevgeny Prigozhin kusogea hadi takribani kilometa 400 kutoka Mji Mkuu wa Urus AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu