Politics 30 Dec 2023 Prof. Janabi: Jeshi la Mtu Mmoja , MC akatania “wakati tunapokwenda kupakua chakula, msisahau ushauri wa Profesa Janabi”. Ukumbi mzima ulilipuka kwa vicheko. Ni kama kila mtu alikuwa anamjua Profesa Mohamed Janabi na ujumbe wake kwa jamii yake. Kwa hakika, katika mwaka 2023, hakuna […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Dec 2023 “Ujutar” wa kisiasa na kuporomoka kwa demokrasia Picha: Rais Donald Trump. Picha kwa hisani ya mtandao wa AP. Na Ahmed Rajab SITOSHANGAA ukinambia hujui “ujutar” ni nini au “jutar” ni nani. Niliwauliza watu kadhaa wa sehemu mbalimbali za Uswahilini na wapo walionambia hawajawahi kuzisikia kalima hizo mb AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 23 Dec 2023 Nani atataka kuwa Katibu Mkuu wa CCM? Picha: Daniel Godfrey Chongolo. Kwa hisani ya tovuti ya CCM. Na Ezekiel Kamwaga WIKI mbili zilizopita, mmoja wa rafiki zangu ambaye ni kiongozi serikalini, alikuja Dar es Salaam kikazi. Katika mazungumzo yetu tulipoonana, suala la kujiuzulu kwa Katibu Mkuu EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 13 Dec 2023 Mafunzo kutoka Zambia Na Ezekiel Kamwaga OKTOBA mwaka huu, nilikuwa sehemu ya waandishi wa habari wa Tanzania waliokuwa kwenye ziara ya kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini Zambia. Ingawa vyombo vyetu vya habari viliandika kuhusu masuala makubwa yaliyotokea huko, jicho la EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 13 Dec 2023 Wakati Kissinger alivyomlazia Nyerere Rais Julius Nyerere akiwa na Henry Kissinger jijini Dar es Salaam mwaka 1976. Picha kwa Hisani ya Cambridge University Press Na Ahmed Rajab DAKTA Henry Kissinger aliyefariki dunia Kent, Connecticut, Marekani, Novemba 29 mwaka huu alikuwa mwingi wa mengi. AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 1 Dec 2023 Waisraeli wanaiogopa hata furaha ya Wapalestina Picha kwa Hisani ya Pars Today Na Ahmed Rajab KISWAHILI chetu hakina neno moja lenye tafsiri ya neno la Kiingereza ‘resistance.’ Lakini lugha za Kiarabu na Kifarsi (Kiajemi), ambazo tumezoea kuazima misamiati yao, zote zinalo neno moja lenye maana ya ‘resistan AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 1 Dec 2023 Katibu Mkuu wa CCM: Historia Fupi (CCM) baada ya kuandika barua ya kujiuzulu na kuhitimisha takribani miaka miwili na miezi saba ya kutumikia nafasi hiyo. Wakati alipotangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, si watu wengi walikuwa wamewahi kumsikia kabla – ingawa aliwahi kuwa Mkuu wa […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 16 Nov 2023 Joan Wicken, mwanamke aliyemjua Julius Nyerere Picha: Nakala ya kitabu kilichoandikwa na Profesa Aili Mari Tripp kuhusu maisha ya Joan Wicken na uhusiano wake na Mwalimu Nyerere. Kitabu hicho kimechapwa na kampuni ya Mkuki na Nyota Na Ahmed Rajab KWA zaidi ya miaka 40, kila alasiri baada ya saa za kazi AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 16 Nov 2023 Maji kila sehemu lakini hakuna maji! “Maji kila mahali lakini hakuna hata tone moja la kunywa” Samuel Taylor Coleridge, The Rime of the Ancient Mariner MWANZO kabisa, napenda kutoa pole kwa Watanzania wenzangu ambao wameathirika kwa namna moja au nyingine na mvua hizi za El Nino zinazoendelea k EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 16 Nov 2023 Fungulia John Heche Suguta Picha: John Heche (kwa hisani ya mtandao wa Millard Ayo) Na Ezekiel Kamwaga MWAKA 2016 utabaki kuwa na historia ya kipekee kwenye miaka ya karibuni na pengine mingi inayokuja. Huu ndiyo mwaka ambapo neno moja lilitajwa kuwa neno lililotumika zaidi katika l EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Nov 2023 Bahati na kupanda kwa Dk. Tulia Ackson Picha: Spika wa Bunge la Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) akizungumza baada ya kupokewa katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma mara baada ya kurejea nchini akitokea nchini Angola alikoshinda uchaguzi wa taasisi hiyo ya mabunge duniani. Picha kwa hi EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Nov 2023 Taabini: Hashil Seif, mpigania haki asiyeyumba (Januari 12, 1938 – Oktoba 27, 2023) Na Ahmed Rajab UJUMBE wa simu ulipoingia asubuhi ya Ijumaa iliyopita, ulikuwa na maneno machache: “Ndugu yetu ameshatangulia mbele ya Haq leo saa moja na dakika arobaini na tano kwa saa za hapa. Tunangoja daktari aje kumtizama mara ya mwisho.” Aliyeleta AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu