Politics 4 Feb 2024 Kupotea: Kazi ya kwanza ya dola ni kutulinda , ni muhimu sana kuweka msingi. Na msingi wenyewe, kwa kukosa mifano ya karibuni sana, itabidi nirudi nyuma takribani miaka 365. Mwaka 1659, kitabu cha Leviathan cha Thomas Hobbes kilichapwa kwa mara ya kwanza. Hoja yake kubwa ilikuwa kwamba wananchi wanataki EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 3 Feb 2024 Afrika Kusini ilicheza na shingo ilitoa Picha: Mmoja wa waandamanaji akifurahia hukumu ya Mahakama ya Haki ya Kimataifa (ICJ) dhidi ya Israel jijini The Hague hivi karibuni. Picha kwa hisani ya Foreign Policy Na Ahmed Rajab ISRAEL haina uso. Inajaribu kujikaza kisabuni na kujitoa kimasomaso lak AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 19 Jan 2024 Kamari ya Rais Samia kwa Nchimbi Picha: Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan akiteta na Katibu Mkuu mpya wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, mara baada ya kupewa majukumu hayo mjini Zanzibar wiki hii. Picha kwa hisani ya CCM. Na Ezekiel Kamwaga KUCHAGULIWA kwa Dk. Emmanuel Nchimbi k EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 19 Jan 2024 Afrika katika mkorogo wa vita vya Gaza Rais Joe Biden akiwa na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu. Picha ya Shirika la AP Na Ahmed Rajab ZAIDI ya siku mia zimekwishapita tangu majeshi ya Israel yaanze kulitwanga eneo zima la Ukanda wa Gaza, ikiwa ni hatua ya kulipiza kisasi mashambulio y AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 31 Dec 2023 Mtihani wa Rais Samia na Waziri Ummy , nilikuwa na mjadala mzuri katika mojawapo ya makundi sogozi niliyopo. Rafiki yangu mmoja alijenga hoja kwamba tatizo la akinamama kujifungulia sakafuni lililotawala sana katika vyombo vya habari na mitandaoni hapa nchini au mwenendo wa suala la Naibu Waziri EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 31 Dec 2023 Lamata: Taa ya Tamthilia za Nyumbani . Tangu wakati huo, Leah Richard Mwendamseke, amekuwa akifyatua tamthilia ambazo zimekuwa sehemu ya maisha ya Watanzania – sasa akitamba na ile ya Jua Kali. Kwa wengi, Mwendamseke ni alama ya tamthilia za Kitanzania na safari yake haikuwa rahisi. Yeye ni […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 31 Dec 2023 Teri: Tanzania ya Uwekezaji . Mwanzoni mwa mwaka huu, Rais Samia Suluhu Hassan, alimteua Gilead Teri, kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC). Wakati anapewa nafasi hiyo, wastani wa miradi ya uwekezaji iliyokuwa inarekodiwa na kituo hicho kwa miaka mitatu ya nyuma EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 31 Dec 2023 Mkenda: Mageuzi ya Elimu , Profesa Adolf Mkenda, amejipambanua katika mwaka huu kama mwanasiasa anayetaka kuona mabadiliko kwenye sekta ya elimu ili iendane na changamoto za kisasa nchini na kimataifa. Kuanzia mwakani, Wizara ya Elimu imeandaa mitaala mipya ambayo itawafanya wahitimu EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 31 Dec 2023 Karia: Rais wa Mpira (AFCON) yaliyopangwa kufanyika mnamo mwaka 2027. Tanzania itaandaa mashindano hayo kwa ushirikiano wa pamoja kati yake na jirani zake wa Kenya na Uganda. Hata hivyo, hakuna shaka kwamba Tanzania ndiyo hasa ilifanikisha ushindi […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 31 Dec 2023 January: Alama kila anapoenda , January Makamba, na utendaji wake tangu alipoingia kwenye wizara hiyo mwaka huu. Kwenye ndege wakati tukirejea Dar es Salaam kutoka India kwenye ziara ya kitaifa ya Rais Samia nchini humo, mmoja wa mawaziri alinieleza kwamba tangu awe waziri – ziara ile ilik EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 31 Dec 2023 Zitto: Kaka wa Maridhiano , Kiongozi wa Chama wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, alikuwa pengine mwanasiasa aliyekuwa akishambuliwa zaidi mitandaoni kuliko mwingine. Mashambulizi hayo yalitokana na ushiriki wake katika Kikosi Kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kufanya mapitio y EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 30 Dec 2023 Hussein Bashe: Kilimo ni dili , India, kwenye ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, alifanya mkutano na waandishi wa habari wa Tanzania tuliokuwa pale. Nakumbuka alipomaliza mkutano, nilikwenda kumshika mkono na kumkumbatia, nikamueleza kwamba nimefurahi kwa k EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa