Politics 9 May 2024 Chapo tayari, Tanzania icheze kete ya kwanza , ni muhimu nikaweka wazi kwa nini naandika uchambuzi huu. Kwanza Msumbiji ni rafiki wa damu wa Tanzania, pili kwenye mpaka wetu nao kuna tishio la kiusalama na tatu tunapakana katika eneo ambako huenda nchi yetu ikafanya mradi mkubwa zaidi wa uwekezaji kwenye EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 9 May 2024 Tafakuri za ghafla juu ya Muungano Na Ahmed Rajab KUTIMU miaka 60 ya Muungano wa Tanzania mnamo 26 Aprili, 2024, kumezidi kuwasisimua na kuwatia jazba baadhi ya waumini wa Umajumui wa Afrika. Mhemuko wao umewafanya wausukume na wajaribu kuufikisha mbinguni Muungano huo. Wanauelezea kuwa ni AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 13 Apr 2024 Tafsiri ya “Sauti ya Dhiki”: Ushairi kama silaha ya ukombozi “Sauti ya Dhiki” ya Abdilatif Abdalla. Mashairi yamefasiriwa kwa Kiingereza na Ken Walibora Waliaula na kitabu kizima kimehaririwa na Annmarie Drury. Kitabu hicho chenye kurasa 344 kimechapishwa na University of Michigan Press na Afrika kimechapishwa na Mkuki AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 13 Apr 2024 Kraken ameachiwa , Liam Neeson – akiigiza kama mungu wa hekaya za Kigiriki Zeus, alitamka maneno “Release the Kraken”. Kraken ni lidubwana lisilo na huruma ambalo Zeus aliagiza lifungiwe baharini, chini ya ulinzi wa Poseidon – mtawala wa baharini kwenye hekaya hizohizo, ili a EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 3 Apr 2024 Mrithi wa Makonda: CCM na revolvere Na Ezekiel Kamwaga NI kazi ngumu kubashiri uteuzi wa Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama hicho. Ukiangalia waliochukua nafasi hiyo kabla, huwezi kutunga uzi au shanga kuunganisha matukio. Hak EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Apr 2024 Kujenga au kubomoa si usanii, ni siasa Na Ezekiel Kamwaga KUNA uhusiano wowote kati ya siasa na majengo? Kuna uhusiano wowote baina ya viongozi na matukio ya kujenga au kubomoa vitu? Jibu langu ni ndiyo na makala yangu hii itaeleza juu ya mifano na namna kujenga au kubomoa kunavyoweza kumjenga EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 1 Apr 2024 Tunafuturu futari, hatufutari futuru Na Ahmed Rajab MIAKA kadhaa iliyopita katika siku kama hizi za mfungo wa Ramadhani niliwahi kuandika makala katika gazeti la Raia Mwema ambamo nililalama jinsi aina kwa aina ya mapishi asilia ya Kiswahili yalivyotoweka Zanzibar baada ya Mapinduzi ya 1964. AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 1 Apr 2024 Senegal: Funzo kubwa zaidi ni wapinzani kuaminiana Rais Macky Sall wa Senegal akiwatembeza Rais mteule wa Senegal, Diomaye Faye (kushoto kwake) na Ousmane Sonko (kulia kwake) kwenye Ikulu ya Dakar hivi karibuni. Picha kutoka mtandao wa Quest France. Na Zitto Kabwe Mtandao wa Viongozi wa Upinzani katika Ba GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri
Politics 12 Mar 2024 “Sit down and talk”: Uchambuzi wangu Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Karume (kushoto) katika mojawapo ya mazungumzo ya faragha aliyowahi kuyafanya na aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, marehemu Seif Shariff Hamad, kisiwani Unguja. Picha kwa hisani ya gazeti la Mwananchi. Na Ezekiel Kamwaga EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 8 Mar 2024 KC Dorothy Semu: Kupanda, sababu na changamoto Ezekiel Kamwaga MIAKA michache iliyopita, Dorothy Semu – wakati huo akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, alianza kupokea simu; za kushawishi na kumtisha, kutaka akihame chama chake na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakati wa wimbi kubwa li EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 8 Mar 2024 IWD: Ushiriki wa siasa usisubiri nyakati za uchaguzi pekee (International Women’s Day) ina mchango mkubwa kwa usawa na haki za wanawake wote duniani. Ni siku muhimu ya kutambua mapambano endelevu ya usawa wa kijinsia na kusherehekea mafanikio ya wanawake ulimwenguni kote. Pia ni siku ambapo watu binafsi, mashirika, GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri
Politics 5 Mar 2024 TAABINI YA MZEE ALI HASSAN MWINYI TAABINI Ali Hassan Mwinyi “Mzee Rukhsa”: (Mei 8,1925 – Februari 29, 2024) Mtu wa watu aliyependwa na masharifu ALHAJI Ali Hassan Mwinyi, aliyefariki dunia Dar es Salaam, Alhamisi iliyopita, siku 70 kabla ya kutimia miaka 99, aliushangaza ulimwengu alipoibuka k AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu