Politics 13 Sep 2023 Mitizamo miwili ya Nyerere juu ya Israel Picha:Ali Muhsin Barwani (kushoto), Kwame Nkrumah na Julius Nyerere (wa pili kulia), Accra, 1958. Picha kwa hisani ya Ahmed Rajab Na Ahmed Rajab WIKI mbili zilizopita niliandika kuhusu mazungumzo waliyokuwa nayo viongozi wawili wa kizalendo wa Kiafrika jijin AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 13 Sep 2023 “Baba yenu ni Doto, Uwaziri umekuja na utaondoka” Picha: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko (kulia), akisalimiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, katika mojawapo ya matukio ya kiserikali hivi karibuni. Na Ezekiel Kamwaga DESEMBA 30, mwaka 1978, mapacha walizaliwa katika familia moja ya w EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 30 Aug 2023 Sheikh Abbas Idi, pumzika kwa amani Janat Firdaus Picha: Sehemu ya umati wa wananchi waliojitokeza kwenye mazishi ya Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Kigoma, Abbas Idi Noboka, Agosti 29, 2023. Picha kwa hisani ya Zitto Kabwe. Na Zitto Kabwe Sheikh Abbas Idi Noboka, Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Kigoma, Mjumbe wa Baraz EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 30 Aug 2023 Nyerere alivyomtetea Karume Accra Picha: Sheikh Vuai Kitoweo, aliyekuwa Rais wa Chama cha Hizbu. Picha kwa hisani ya Ahmed Rajab Na Ahmed Rajab KATIKA mwezi wa Machi hali ya hewa jijini Accra, Ghana, huwa inaudhi bila ya kiasi kwa joto linavyokuwa kali. Jioni ndipo huzidi kushtadi. Nadra EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 30 Aug 2023 Kachero Siwa, Kadari na Siasa za TISS Rais Samia Suluhu Hassan akimwapisha Ali Idi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) wiki hii. Picha kwa Hisani ya Ikulu Na Ezekiel Kamwaga MARAIS huwa hawachagui siku au mazingira yatakayowafanya washike wadhifa huo katika wakati EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Aug 2023 Kadinali Pengo angesemaje kuhusu Waraka wa Maaskofu? Na Ezekiel Kamwaga KUELEKEA kipindi cha Kwaresma na Sikukuu ya Pasaka ya mwaka 2018, Baraza la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC) lilitoa waraka ambao kimsingi ulikosoa vitendo vya uminyaji wa demokrasia na uhuru wa watu kujieleza uliokuwepo wakati wa uta EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Aug 2023 Tunarudi mbele? Diplomasia ya Rais Samia Na Ezekiel Kamwaga MUONGO mmoja uliopita, nilikuwa na mazungumzo na mmoja wa maofisa waandamizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ofisini kwake na mara akapita mtu mmoja wa makamo mbele yetu. Rafiki yangu akaniuliza “unamfahamu yule”, nikajibu hapana. Akanita EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 23 Aug 2023 Pitio la Kitabu: ‘’Survived and Thriving cha Madiha Tubman Picha: Ukurasa wa mbele wa kitabu cha Survived and Thriving. Picha kwa hisani ya Mohamed Said Na Mohamed Said KUANZIA mwanzo wa kitabu ukurasa wa kwanza akili yako itakuambia kuwa mkononi kwako umeshika kitabu ambacho si cha kawaida; si kitabu utakachosom GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri
Politics 23 Aug 2023 Rais Babangida: Nyumbani kwa ‘Maradona’ wa siasa za Nigeria Picha. Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab (kushoto), akizungumza na Rais mstaafu wa Nigeria, Ibrahim Babangida, nyumbani kwake wakati wa mahojiano yaliyofanyika nyumbani kwa kiongozi huyo nchini Nigeria. Na Ahmed Rajab KAMA kuna mtawala wa kijeshi ali AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 16 Aug 2023 La Pausa Picha: Sehemu ya matukio yaliyotokea nchini Tanzania kama yalivyoripotiwa kwenye magazeti ya Agosti 16, 2023. Picha kwa hisani ya mtandao wa Millard Ayo. Na Ezekiel Kamwaga KUTOKANA na hali ya Tanzania inayoendelea hivi sasa – hasa katika medani ya siasa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 16 Aug 2023 Nyuma ya uamuzi wa Rais Picha: Rais mstaafu, Jakaya Kikwete. Picha kwa hisani ya gazeti la Daily News. Na Godfrey Dilunga NJAA ya wadokozi ambao siku hizi ni maarufu kwa jina la mafisadi, imegharimu kwa kiasi kikubwa maisha ya raia wa kawaida nchini. Kodi anayolipa raia huyo kwa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 16 Aug 2023 Mkama Ndume na ukarimu wa Wapemba Picha: Mwandishi wa makala haya, Mohamed Said, akishiriki chakula na wenyeji wake kisiwani Pemba hivi karibuni. Picha kwa hisani ya Mohamed Said Na Mohamed Said Wenyeji wangu wananitembeza kila sehemu Pemba. Ndani ya gari yetu kumetiwa maji ya kunywa, ma GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri