Politics 31 Oct 2023 Aina tano za UONGO wa ubeberu, ukweli mmoja wa umma Picha: Mmoja wa waandamanaji barani Ulaya akiwa ameshika bango linalotaka majeshi ya Israel yasitishe mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina hivi karibuni. Picha kwa hisani ya mtandao wa Forward. Na Issa Shivji KUNA mtu aitwaye Joseph Goebbels aliyekuwa Wa GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri
Politics 23 Oct 2023 Nyakati za Samia na Hakainde , Baba wa Taifa la Zambia, Dk. Kenneth Kaunda, alipata kuelezea uhusiano baina ya taifa lake na Tanzania kuwa sawa na ule wa pacha walioungana. Hakuna kilichokuwa kinaeleza uhusiano huo kama uhusiano baina yake na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere. Wawil EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Oct 2023 Israeli: Demokrasia yenye dosari na ubaguzi uliozagaa Maelezo ya Picha. Aliyekuwa Kiongozi wa Wapalestina, Yasser Arafat (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah (kushoto) na aliyekuwa Mufti wa Comoro Sayyid Muhammad Abdulrahman (kulia), wakati alipotembelea taifa hilo AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 23 Oct 2023 Israeli: Demokrasia yenye dosari na ubaguzi uliozagaa Picha: Kiongozi wa zamani wa Wapalestina, Yasser Arafat, kwenye picha na Mwalimu Nyerere. Na Ezekiel Kamwaga Katika moja ya hotuba zake maarufu za zamani, Baba wa Taifa la Zambia, Dk. Kenneth Kaunda, alipata kuelezea uhusiano baina ya taifa lake na Tanzania ku AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 14 Oct 2023 Namna Rais Samia ‘alivyoiteka’ India Na Ezekiel Kamwaga NIANZE kwa kutumia takwimu kueleza kile nilichopanga kuandika kwenye makala haya. Katika siku nne ambazo Rais Samia Suluhu Hassan alikaa nchini India, Oktoba 8 mpaka 11 mwaka huu, kuna siku mbili ambazo jina lake liliongoza kwa kusakwa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 14 Oct 2023 Netanyahu na wenzake ni chui wa karatasi Na Ahmed Rajab NILIPOWASILI Gaza kwa mara ya kwanza Mei 2009 nilikuwa na hamu kubwa ya kukutana na Ismail Haniyeh, kiongozi wa Hamas (ufupisho wa Harakah al-Muqawamah al-Islamiyyah) na aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Palestina. Hamas ni chama cha kisiasa ch AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 14 Oct 2023 Nyerere na namna ya kudhibiti Jeshi , Julius Nyerere, alilifanya kiasi cha kubaki madarakani kwa muda mrefu? Pasi na kufikiri sana, Museveni alijibu; “He tamed the army” Kwa tafsiri ya haraka ya lugha ya Kiswahili, alimaanisha alilidhibiti Jeshi. […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 7 Oct 2023 Mizengwe dhidi ya Maalim Seif na Dkt. Salim Picha: Maalim Seif Sharif Hamad na Dk. Salim Ahmed wakizungumza wakati Salim akiwa Mjumbe wa Kamati ya Bunge la Katiba. Na Ahmed Rajab NILIWAHI kuandika kuhusu mazungumzo yangu na Mwalimu Julius Nyerere alasiri ya tarehe 5 Desemba, 1994, chumbani kwake kat AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 7 Oct 2023 Ya Dk. Salim: Namuelewa Mzee Warioba, lakini…. Picha: Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere akiwa na Dk. Salim Na Ezekiel Kamwaga KWENYE tukio la uzinduzi wa Makavazi ya Dk. Salim Ahmed Salim jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, Profesa Said Yahya Othman aliuliza swali gumu kwa wazungumzaji watatu katika tuki EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 7 Oct 2023 Kavazi la Dkt. Salim: Jenerali Ulimwengu na Gazeti la Rai mwaka 1995 . Salim Ahmed Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 Machi 1995 na walizungumza kuhusu Burundi, siasa za Tanzania na Uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Mimi nilivutiwa na hili la Uchaguzi Mkuu wa 1995 kwa kuwa kwa njia moja au nyingine nilihu GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri
Politics 28 Sep 2023 Nusura wanawake waniadhiri kwenye ‘Bustani ya Ibilisi’ Picha: Mwandishi wa makala haya, Ahmed Rajab (kushoto), akiwa na mwandishi mwenzake wa Tanzania, Salim Kikeke, wakiwa na tuzo zao zilizoenzi mchango wao katika kukuza lugha ya Kiswahili. Tukio hilo lilifanyika London, Uingereza, hivi karibuni. Na Ahmed Rajab AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 28 Sep 2023 TANESCO: Nyamo-Hanga, Ulanga, Makamba na wahanga Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa tukio la kuapisha mabalozi na watendaji wengine wa serikali lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam wiki hii. Picha ya Ikulu Na Ezekiel Kamwaga KUELEWA uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kumfanya Boniface G EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa