Politics 16 Aug 2023 Niger: Sababu za Tinubu kuja matao ya chini Picha: Rais Bola Ahmed Tinubu wa Nigeria. Picha kwa Hisani ya mtandao wa Business NG. Na Ahmed Rajab SIKU zinaingia na siku zinatoka lakini Afrika Magharibi haziingii tena kwa vishindo. Hatuyasikii magoma yakipigwa kunadi vita. Jumuiya ya Uchumi ya Afr AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 9 Aug 2023 Ni nguvu ya kisiasa au nguvu ya rushwa? Picha: Wananchi wa Afrika Kusini wakiandamana kupinga vitendo vya rushwa vinavyofanywa na viongozi wa kisiasa wa taifa hilo. Na Godfrey Dilunga ILIKUWA mwaka 1962, jijini Dar es Salaam, Rais Julius Nyerere, wakati huo, alifungua Mkutano wa Vijana Duniani. GE Gazeti la Dunia Editor Mhariri
Politics 9 Aug 2023 Nikionacho Baraza Kivuli ACT Wazalendo Picha: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe. Picha kwa hisani ya Gazeti la Mwananchi Na Ezekiel Kamwaga MWANZONI mwa wiki hii, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, alitangaza Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho lenye wajum EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 9 Aug 2023 Nini matokeo ya mapinduzi ya kijeshi Niger? Picha: Viongozi wa kundi la askari waliopindua serikali ya Rais Mohamed Bazoum nchini Niger. Picha ya Al Jazeera Na Ahmed Rajab WIKI imepita kama upepo tangu Jumuiya ya Uchumi ya Afrika Magharibi (Ecowas) itangaze kuwa inawapa wapinduzi wa kijeshi wa Niger AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 3 Aug 2023 Ya kina Mwalimu, ‘Jibwa Kubwa’ na ‘Top Pen’ Picha: Chen Boda, aliyepata kuwa “Top Pen” wa Chama cha Kikomunisti cha China. Picha kwa hisani ya Memoires de Guerre Na Ahmed Rajab SI kwamba najaribu kujipendekeza kwa muasisi na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Dunia ambaye siku hizi amejipa lakabu ya ‘Top EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 3 Aug 2023 “Mwenye bunduki halimi” Picha: Mwandishi wa makala haya, Ezekiel Kamwaga, akihojiwa na Shirika la Utangazaji wa Rwanda kama sehemu ya jopo la waandishi wa habari wa nchi mbalimbali za Afrika walioripoti kuhusu Uchaguz Mkuu wa Rwanda wa mwaka 2017. Picha ya Maktaba Na Ezekiel Kamwaga EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 3 Aug 2023 Niger: Yaliyomo ndani na nje Picha: Viongozi wa wanajeshi waliopindua serikali ya Niger wakitoa taarifa rasmi kwa wananchi kuhusu jambo hilo. Picha kwa hisani ya tovuti ya Al Jazeera Na Ahmed Rajab TANGU Jumatano iliyopita wakati Rais Mohamed Bazoum alipopinduliwa nchini Niger hadi le EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 3 Aug 2023 Maalim Aly Basaleh: Sheikh Shujaa Picha: Mwandishi wa taabini hii, Mohamed Said, akizungumza na swahiba yake, Sheikh Aly Basaleh, enzi za uhai wake, katika moja ya mazungumzo waliyofanya nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Mohamed Said Na Mohamed Said Nimepata taarifa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 26 Jul 2023 Othman: SUK, Rais Mwinyi, Maalim Seif, Muungano na ajira Zanzibar Picha: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud (kulia), akizungumza na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Dunia, Ezekiel Kamwaga, kwenye mahojiano maalumu ofisini kwake kuhusu tathmini ya Nusu Muhula wa Serikali ya Umoja wa K EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 25 Jul 2023 Abdulrahman Babu hakuupinga Muungano lakini… Picha: Rais wa kwanza wa Zanzibar, Abeid Karume (kushoto), katika mazungumzo na Abdulrahman Babu Na Ahmed Rajab SIKU ilipotangazwa kwamba Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar zitaungana, Abdulrahman Mohamed Babu aliyekuwa waziri wa mambo ya nje na bia AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 25 Jul 2023 Ole wetu Samia akihamia upande wa pili Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Na Ezekiel Kamwaga KUJENGA msingi wa hoja yangu kwenye makala haya, ni muhimu kurejea nyuma miaka minane iliyopita. Mwaka 2015, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu. Katika uchaguzi huo, vyama vya upinzani vilipata takriban EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 25 Jul 2023 Bandari inavyorarua vazi la Nyerere Na Peter Nyanje KATI ya mambo yaliyoibuka kwa hisia kali kwenye mjadala wa uwekezaji katika bandari nchini ni suala la Muungano. Ingawa hivi sasa hoja hii inaonekana kama imekufa pengine kwa sababu haikuwa katika kiini cha mjadala yaani vifungu vya mkata EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa