Politics 3 Apr 2023 Pumba na mchele kwenye maandamano ya Kenya , kufanya kusanyiko na kufanya shinikizo kwa njia ya amani, bila vurugu au kubeba silaha. Kwenye mazingira ya namna hii, wajibu wa kikatiba wa vyombo vya dola wakati wa maandamano ni kuhakikisha kuwa haki hiyo ya […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 15 Mar 2023 Lowassa apigania uhai Afrika Kusini HALI ya kiafya ya Waziri Mkuu mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa, inaelezwa kuwa ya kutoridhisha katika siku za karibuni na kwamba sasa “anapigania uhai wake”, Gazeti la Dunia linaweza kuthibitisha. Lowassa anayetarajiwa kutimiza umri wa miaka 70 Agosti 26 mwaka h EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 14 Mar 2023 Utamjuaje Magufuli, Netanyahu au AMLO? AKIANDIKA katika gazeti maarufu nchini Israel la Haaretz hivi karibuni, mwanahistoria maarufu, Yuval Harari, alieleza kwamba katika historia, kuna mapinduzi ya namna mbili; yale ya kutoka juu na mengine ya kutoka chini. Mapinduzi ya kutokea chini ni yale amb EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 8 Mar 2023 Siku Membe aliponieleza kuhusu Miungu Watu MWAKA 2017, utawala wa Rais John Magufuli ulikuwa umeanza kushika kasi. Wakati huo nilikuwa Mhariri wa gazeti la Kiswahili la kila wiki la Raia Mwema na uchambuzi wangu kuhusu uteuzi wa baraza lake la kwanza la mawaziri – ambapo nilihoji uchache wa Wazanzibari EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 21 Jun 2022 Miaka 30 ya Vyama Vingi: Changamoto na Mustakabali kusonga mbele LEO Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi. Katika kipindi hicho, taifa letu limepitia katika kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi kwa s SH Samia Suluhu Hassan Mgeni Maalum