Politics 29 May 2023 Dangote wao, Bakhresa wetu Maelezo ya picha: Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mamilionea wa Tanzania baada ya mkutano wa Kamati ya Okoa Maisha Somalia uliofanyika Ikulu mwaka 2011 kuhusu namna ya kuisaidia nchi ya Somalia kwa misaada ya kibinadamu. Kutoka ku EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 29 May 2023 Hatumtendei haki January Maaelezo ya picha: Waziri wa Nishati, January Makamba, akiwa katika mazungumzo na wakuu wa kampuni za Shell na Equinor mnamo Septemba mwaka 2021, siku chache tu baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huo. Na Ezekiel Kamwaga KAMA Ta EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 21 May 2023 Uchaguzi Uturuki: Mafunzo kwa vyama vya upinzani Maelezo ya picha: Mgombea wa upinzani katika uchaguzi wa Uturuki, Kemal Kılıçdaroğlu (kushoto), akitembea kwenye mitaa ya Ankara Mei 19 mwaka huu. Na Murat Sommer na Jennifer McCoy Uchaguzi wa Rais na Wabunge nchini Uturuki uliofanyika Mei 14 mwaka huu ul EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 21 May 2023 Siasa za ujenzi wa Ikulu Maelezo ya picha: Mwonekano wa Ofisi mpya za Ikulu, Chamwino, Dodoma. Picha kwa hisani ya Ikulu. Na Ezekiel Kamwaga WAKATI unapoingia kwenye eneo ilikojengwa Ikulu mpya ya Chamwino mkoani Dodoma, kuna vitu viwili unaviona haraka; kwanza ni ukubwa wa eneo h EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 21 May 2023 Namna Move Forward walivyoshinda uchaguzi wa Thailand Maelezo ya picha: Mgombea wa chama cha Move Forward, Pita Limjaroenrat, (katikati) akiwashukuru wapiga kura wake kwenye eneo la Mnara wa Demokrasia jijini Bangkok, walipokusanyika kusherehekea ushindi wa chama chao kwenye uchaguzi uliofanyika Mei 15, mwaka huu EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 21 May 2023 Malcolm X na samaki wa kupaka wa Dar es Salaam NENO: Mei 19 mwaka huu, mpigania haki mweusi mashuhuri, Malcolm X, angetimiza miaka 98 endapo angekuwa hai hadi leo. Maisha yake yalikatishwa kikatili kwa kupigwa risasi jijini New York, Marekani, Februari 25, mwaka 1965. Makala hii imechapishwa humu kama sehe EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 15 May 2023 Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu Caption: Kasisi Martin Niemoller. Picha ya Nationaal Archief Na Ahmed Rajab SIJUI kwa nini hasa, ingawa nina hakika sababu ninazo, lakini tangu juzi akili yangu imetekwa na ndege na kasisi. Imekuwa ikivutwa na kuvutiwa na viumbe hivyo. Nimekuwa niki EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 15 May 2023 Membe ambaye hujawahi kumsikia Caption. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, akitoa mhadhara kuhusu masuala ya kitaifa na kimataifa wakati alipozungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tusiime jijini Dar es Salaam mnamo Machi 30, 2015. Picha kutoka Ofisi Binafsi ya Membe. EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 8 May 2023 Kutawaliwa na dikteta mwenye vichwa zaidi ya kimoja Caption: Viongozi wa juu wa CHADEMA katika picha ya pamoja wakati wakitangaza Operesheni Ukuta mnamo Julai mwaka 2016. Ukuta ndiyo ilikuwa jitihada za awali kabisa za vyama vya upinzani kupinga zilizoanza kuonekana kama dalili za awali za udikteta kwenye siku AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 8 May 2023 Miaka 10 ijayo ya ACT Wazalendo , chama cha siasa cha ACT Wazalendo kilitimiza miaka tisa kamili tangu kuanzishwa kwake mnamo Mei mwaka 2014. Ingawa katika muda huo kimepita katika misukosuko mingi, naamini kwamba miaka 10 inayokuja itakuwa muhimu zaidi kwake. Kama ilivyo kwa viumbe hai vi EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 7 May 2023 Mifugo na Uvuvi kwa jicho la Abdallah Ulega , Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amekuwa na tabia moja inayomtofautisha na wabunge wengi – kwamba huwa haingii ndani ya viwanja vya Bunge jijini Dodoma kwa kutumia gari yake. Badala yake huacha gari yake nje […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 5 May 2023 Gazeti ambalo halitatoka: Kumbukumbu ya miaka 20 . Katika muda huo nimefanya kazi katika vyombo tofauti vya habari – kuanzia kampuni ya Habari Corporation iliyonipa kazi ningali kijana mdogo, na mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Tanzania. Nimeamua nitumie makala hii kuwakumbuka waandishi wenzangu […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa