Politics 5 Sep 2024 Babu Duni na binti yangu: Somo la Unyenyekevu Na Ezekiel Kamwaga SIKU moja majira ya saa tano usiku, nilipokea simu kutoka kwa mwanasiasa mkongwe wa Zanzibar, Juma Duni Haji. Alikuwa ananipigia kwa vile hakupokea wakati alipopigiwa simu kutoka kwangu saa kadhaa nyuma. Nilipoiona tu nilitabasamu maan EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Aug 2024 Jinsi WhatsApp ilivyosababisha kifo cha Haniyeh Pichani: Ismail Haniyey, aliyekuwa Kiongozi wa Kisiasa wa Chama cha Hamas cha Palestina. Picha kwa hisani ya Getty Image Na Ahmed Rajab WATU wengi wanaposikia mvuvumko wa Hamas ukitajwa, sura ya mwanzo inayowajia ni ya Ismail Haniyeh, aliyekuwa kiongoz AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 27 Jul 2024 January, uwaziri na mengine Na Ezekiel Kamwaga KATIKA kipindi cha takribani miaka 60 ya nchi yetu – na pengine duniani kwa ujumla, P mbili; Perfomance and Politics (Siasa na Utendaji), zimeamua uwepo wa waziri au mawaziri kwenye Baraza la Mawaziri. Rais anaweza kumbadili au kubad EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 17 Jul 2024 Mtihani wa Ruto na viongozi wengine wa Afrika Na Ahmed Rajab HUU ni wakati muhimu na mgumu kwa Kenya. Taifa hilo linawaka moto na siasa zake zimefikia patamu. Rais William Ruto ambaye wiki chache tu zilizopita alionekana kuwa imara hivi sasa ni wazi kwamba amedhoofika. Wapinzani wake waliomiminika b AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 23 Jun 2024 Tanzania Tower: Idan na Picha kubwa Mwonekano wa majengo pacha ya Tanzania Tower mara yatakapokamilika Na Ezekiel Kamwaga MAPEMA mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Nje, January Makamba, alipokea simu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Serikali ya Nigeria kuhusu suala la kiwanja ambacho Tanzania ilip EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 9 Jun 2024 ANC, BJP, CCM na Zama za Mseto Picha kwa hisani ya tovuti ya Al Jazeera Na Ezekiel Kamwaga NILIPIGA kura kwa mara ya kwanza mwaka 2000 na jambo moja nililolishuhudia wakati ule halijatoka kichwani kwangu hadi leo. Wakati naingia kupiga kura, nilikutana na wasimamizi wawili waliokuwa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Jun 2024 Ruto katupiga bao? Ijue nchi yako Picha: Ramani ya Afrika ikionyesha idadi ya kambi za kijeshi za mataifa makubwa ndani ya bara hilo. Hizi ni takwimu za mtandao wa REDDIT. Na Ezekiel Kamwaga KATIKA moja ya mahojiano muhimu zaidi niliyowahi kufanya kama mwana habari, nakumbuka niliyofany EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Jun 2024 Watu 13 wamekufa na hakuna kitu? Picha kwa hisani ya blogu ya Full Shangwe Na Ezekiel Kamwaga MEI 23 mwaka huu, watu 13 walipoteza maisha baada ya kuungua na mvuke wa moto uliotokea katika kiwanda cha sukari cha Mtibwa kilichopo mkoani Morogoro. Mara baada ya ajali kutokea, tuliambiwa k EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 1 Jun 2024 Ruto anajua akifanyacho KARATA za kisiasa anazozicheza William Ruto, Rais wa Kenya, katika jukwaa la kimataifa zinamfanya aonekane kuwa ama ni mwerevu au ni fala. Kuna wasemao kwamba hana uwerevu wowote lakini si mjinga wala zuzu kwani anajua akifanyacho — amejitolea kuitumikia Ma AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 24 May 2024 Kipi kimeipa China ukubwa wake wa sasa? Na Ezekiel Kamwaga WIKI iliyopita nilikuwa nchini China kwenye ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba, kufuatia mwaliko wa mwenzake wa China, Wang Yi. Ilisadifu kwamba ziara hiyo iliendana na maadhimisho ya mi EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 17 May 2024 Balozi Yakubu, hii ndiyo Comoro Na Ahmed Rajab UHUSIANO baina ya Tanzania na Comoro unatazamiwa kupaa na kukua baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumteua Saidi Yakubu kuwa balozi mpya wa nchi yake visiwani Comoro. Yakubu aliyehitimu shahada ya sheria nchini Uingereza kabla ya kurudi Tanz AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 17 May 2024 Siku January alipokutana na Wang Yi , marais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania na Xi Jin Ping wa China walifanya mabadiliko katika mabaraza yao ya mawaziri na kuwapa nafasi wanasiasa wawili ambao ndiyo wasaidizi wao wakuu kwenye masuala ya diplomasia na uhusiano wa kimataifa. Julai mwaka 2023, R EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa