Politics 2 May 2023 Ni nani makomredi walioshiriki Mapinduzi ya Zanzibar 1964? Picha: Baraza la Kwanza la Mapinduzi Zanzibar WIKI iliyopita mwandishi Salma Said alichangia katika mazungumzo ya humu mtandaoni yaliyoanzishwa na makala ya @ahmedrajab katika Gazeti la Dunia yakimzungumzia Badawi Qullatein. Salma aliandika kuwa yeye aliwah EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Apr 2023 Badawi Qullatein, mtetezi wa wanyonge Picha: Badawi Qullatein Na Ahmed Rajab BADAWI Qullatein aliyefariki dunia Makkah, Saudi Arabia, asubuhi ya Oktoba 31, 2011 akiwa na umri wa miaka 81 alikuwa ni mtu wa vipaji vingi: mpigania haki za wafanya kazi, mwanamapinduzi, mhariri wa magazeti na mcha Mung AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 23 Apr 2023 Muungano @59: Israel ilihusika mwaka 1964? Picha: Marais Julius Nyerere wa Tanganyika na Abeid Amani Karume wakitia saini Hati za Muungano. Na Ezekiel Kamwaga MARA ya kwanza kusikia jina la Misha Feinsilber ilikuwa wakati niliposoma – kwa mara ya kwanza pia, kitabu adhimu cha Harith Ghassany “Kwaheri U EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Apr 2023 Namna ya kukabili hoja za dunia mpya anayoitaka Rais XI Jinping Picha ya Xi: Kwa hisani ya AP/Andy Wong. Na Mark Leonard KATIKA siku za karibuni, Rais Xi Jinping wa China ametawala vichwa vya habari katika vyombo vya Magharibi kwa matukio makubwa mawili. Mosi ni kwa namna alivyofanikisha mazungumzo baina ya Iran na Saudi EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 23 Apr 2023 Nyerere hakuwa na insafu juu ya Muungano BARAZANI KWA RAJAB Na Ahmed Rajab MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park. Hoteli hiyo iko mkabala wa uwanja wa Hyde Park na iko mwendo wa dakika chac AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 23 Apr 2023 Kwa nini Dk. Mpango hawezi kupoa (2)? , nilitaka kuweka historia kidogo ya nafasi ya Makamu wa Rais tangu mwaka 1995. Hii ni kwa sababu, Uchaguzi Mkuu wa mwaka 1995 ndiyo ulikuwa wa kwanza ambapo nafasi ya mgombea mwenza (Makamu wa Rais) ilikuwepo. Kabla ya mwaka 1995 – yaani kuanzia […] EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 16 Apr 2023 “Tutajitosa”: Namna Nyerere alivyobishana na Babu kuhusu Biafra mwaka 1968 . Lakini mwezi na mwaka naukumbuka. Na siku zenyewe kwa jumla ninazikumbuka. Zilikuwa siku za Morogoro Jazz Band na Mbaraka Mwinshehe. Simba Wanyika hawakuwa wakinguruma, walikuwa bado kuzaliwa. Hiyo siku mahsusi nisiyoikumbuka ni siku Rais Julius Nyerere wa T AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 16 Apr 2023 Mara hii nina hofu na Sudan Picha kwa hisani ya mtandao wa Africanintelligence. MACHAFUKO yameanza upya nchini Sudan. Mgogoro wa sasa ni mbaya kwa sababu unahusisha watu wawili wenye silaha – Mkuu wa Majeshi, Jenerali Abdel Fatah al Burhan na Kiongozi wa Vikosi vya Mgambo, Jenerali Moha EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 16 Apr 2023 Kwa nini Dk. Mpango hawezi kupoa? Picha kwa Hisani ya gazeti la serikali la Daily News. KITABIA, nafasi ya Makamu wa Rais katika nchi inayofuata mfumo wa uchaguzi wa Kimarekani – kama ilivyo kwa sehemu hapa kwetu Tanzania, ni nafasi iliyopoa na inayoboa. Enzi nikiwa ripota, mara mbili niliwah EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 3 Apr 2023 “Hata kama wataniua, usiwaache wakaliua jina langu” – Dedan Kimathi Na Ahmed Rajab WAINGEREZA walipomtia kitanzi na kumnyonga Dedan Kimathi, mimi nilikuwa mdogo — sikuwa nimebalehe kimaumbile wala kisiasa. Wala siku hizo sikujua Dedan Kimathi alikuwa nani. Hata kumsikia sikumsikia. Kimathi alinyongwa asubuhi ya Februari 18, AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 3 Apr 2023 Mzigo wa Rais Samia, Mbowe na Zitto ; Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na ACT Wazalendo, maswali yameibuka – nani anapata nini kwenye maridhiano haya ya kisiasa? Ninawafahamu wanasiasa wawili wabunge wa CCM ambao wamezungumza nami wakionesha wasiwasi mkubwa EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 3 Apr 2023 Msuya: Waambieni wananchi ukweli WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa David Msuya (92), ametoa siri ya namna ya kudumu madarakani na Watanzania pasipo migogoro; kuwaeleza ukweli. Katika mazungumzo yake na Gazeti la Dunia, Msuya alisema jambo kubwa alilojifunza kwenye utumishi wake wa umma uliodumu EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa