Politics 26 Jan 2025 Kwa nini hatukuuona ushindi wa Lissu? Na Ezekiel Kamwaga AKIANDIKA mapitio ya kitabu cha The Age of Revolutions cha Fareed Zakaria kwenye jarida mashuhuri la Foreign Policy Machi mwaka jana, mchambuzi Michael Hirsh, aliandika mstari mmoja ambao umebaki kwenye kumbukumbu zangu; “Kuna kitu kim EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 17 Jan 2025 Kazini kwao kuna kazi Na Ezekiel Kamwaga UTANGULIZI WAKATI mwaka mpya unapoanza, vyombo vya habari vimekuwa na utamaduni wa kufanya tafakuri kuhusu masuala tofauti yaliyotokea katika mwaka uliokwisha na yapi ya kutarajia katika mwaka mpya. Kwa mara ya kwanza mwaka huu EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 4 Jan 2025 Je, CHADEMA inaelekea njia ya TLP? Na Thomas Joel Kibwana Chama cha Tanzania Labour (TLP), ambacho kilikuwa na ushawishi mkubwa katika siasa za Tanzania, kilififia na kupoteza umaarufu wake kutokana na changamoto za uongozi, mgawanyiko wa ndani, na kushindwa kuendana na mabadiliko ya k TK Thomas Kibwana Mwandishi
Politics 24 Dec 2024 Kosa la Freeman Mbowe Na Ezekiel Kamwaga MWAKA 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilipata mafanikio makubwa katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania. Kilipata takribani asilimia 40 ya kura zote zilizopigwa – kiwango ambacho kilikuwa hakijawahi kufikiwa na chama chocho EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 22 Dec 2024 Kosa la Tundu Lissu Picha kwa Hisani ya Gazeti la Citizen la Tanzania Na Ezekiel Kamwaga MARA nyingi ninapofanya uchambuzi kuhusu wanasiasa, huwa ninaamini kuwa kuna wanasiasa wa aina tatu; wanasiasa wa kipekee, wanasiasa wa kitaasisi na wanasiasa wa msimu. Wanasiasa wa kip EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 6 Dec 2024 Ancien Regime, Abdul Nondo na watu kutekwa Na Ezekiel Kamwaga KATIKA uchambuzi wake wa nini kilisababisha Mapinduzi ya Ufaransa ya mwaka 1789, Alexis du Tocqueville aliandika kitu cha tofauti na wengine walioandika kuhusu mapinduzi yale. Alisema mapinduzi yale hayakuwa tukio la mara moja bali ni EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 25 Nov 2024 Rais Samia wa G20 MAELEZO YA PICHA: Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo ya uwili (bilateral) na Rais wa Indonesia, Prabowo Subianto, pembezoni mwa mkutano wa G20 uliofanyika Rio de Janeiro, Brazil, wiki iliyopita. Na Ezekiel Kamwaga MOJAWAPO ya taswira zilizob EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 17 Nov 2024 Ajali ya Kariakoo, angani na Rio: Saa 15 za kwanza Na Ezekiel Kamwaga DAKIKA chache baada ya ndege iliyombeba Rais Samia Suluhu Hassan kupaa angani kwenda Brazil kuhudhuria mkutano aliopewa heshima ya kualikwa wa Nchi Tajiri Duniani wa G20, habari zilianza kusambaa mitandaoni kuhusu kuanguka kwa jengo la b EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
History 11 Nov 2024 Pitio la Kitabu: Mbegu ya Tikiti Mtungaji: Mohammed Ghassani Wachapishaji: Zaima Publishers Uhakiki na Ahmed Rajab KITABU hiki, kilichozinduliwa Oktoba 26, mwaka 2024 kwenye ukumbi wa Chuo Kikuu cha SOAS, London, ni cha aina ya pekee. Hakina mfanowe katika fasihi ya Kiswahili — si ya kal AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 22 Sep 2024 Septemba 23 isiwe maafa, uwe mwanzo mpya Na Ezekiel Kamwaga KESHO, Septemba 23, 2024, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimepanga kufanya maandamano hapa nchini kupinga vitendo vya utekaji na mauaji vinavyoonekana kukithiri hapa nchini hivi sasa. Mpaka wakati naandika makala haya, nin EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa
Politics 16 Sep 2024 TAABINI: Salum Badar (1938 -2024), kielezo cha historia ya Zanzibar Picha. Salum Badar Na Ahmed Rajab SALUM Badar aliyefariki dunia mjini Malmo, Kusini mwa Sweden, Agosti 13, 2024, akiwa na umri wa miaka 86 alikuwa miongoni mwa Wazanzibari washupavu waliochangia katika harakati za ukombozi bila ya kujigamba au kutambulika AR Ahmed Rajab Mwandishi Mkuu
Politics 7 Sep 2024 Chawa ni nani? Tajiri Elon Musk wa Marekani (kushoto) katika picha na mgombea urais wa chama cha Republican, Donald Trump. Picha kwa hisani ya IBTimesUK Na Ezekiel Kamwaga KWA wafuatiliaji wa siasa za Marekani kuelekea uchaguzi wao wa Novemba mwaka huu, watakuwa wame EK Ezekiel Kamwaga Mchambuzi wa Siasa