Ezekiel Kamwaga âmefanya kazi ya uandishi wa habari ndani na nje ya nchi kwa miaka 20. Ana Shahada ya Uzamili katika Siasa za Afrika kutoka Chuo Kikuu cha SOAS nchini Uingereza.