Gazeti la Dunia linapenda kuchochea utamaduni wa mijadala na watu kushindana kwa hoja kwani linaamini wanaozungumza huwa hawagombani. Ukitaka Mhariri wa Gazeti aje kuzungumza kwenye mkutano wako kama mtoa mada au kuzungumzia masuala tofauti ya kisiasa ya Tanzania na duniani kwa ujumla, tafadhali wasiliana nasi kupitia +255 786 722 303