Tunafuturu futari, hatufutari futuru
Na Ahmed Rajab MIAKA kadhaa iliyopita katika siku kama hizi za mfungo wa Ramadhani niliwahi kuandika makala katika gazeti la Raia Mwema ambamo nililalama jinsi aina kwa aina ya mapishi asilia ya Kiswahili yalivyotoweka Zanzibar baada ya Mapinduzi ya 1964. Nilijawa na furaha nilipoona kwamba makala hayo yaliwachochea wengine kuendeleza na […]















































































































































