Nani atataka kuwa Katibu Mkuu wa CCM?
Picha: Daniel Godfrey Chongolo. Kwa hisani ya tovuti ya CCM. Na Ezekiel Kamwaga WIKI mbili zilizopita, mmoja wa rafiki zangu ambaye ni kiongozi serikalini, alikuja Dar es Salaam kikazi. Katika mazungumzo yetu tulipoonana, suala la kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, lilichukua sehemu kubwa ya mazungumzo yetu. […]















































































































































