Aina tano za UONGO wa ubeberu, ukweli mmoja wa umma

Picha: Mmoja wa waandamanaji barani Ulaya akiwa ameshika bango linalotaka majeshi ya Israel yasitishe mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina hivi karibuni. Picha kwa hisani ya mtandao wa Forward.   Na Issa Shivji   KUNA mtu aitwaye Joseph Goebbels aliyekuwa Waziri wa Propaganda katika utawala wa fashisti Adolf Hitler. Goebbels aliwahi kusema ukirudiarudia uongo hatimaye […]

Nyakati za Samia na Hakainde

Na Ezekiel Kamwaga   Katika moja ya hotuba zake maarufu za zamani, Baba wa Taifa la Zambia, Dk. Kenneth Kaunda, alipata kuelezea uhusiano baina ya taifa lake na Tanzania kuwa sawa na ule wa pacha walioungana. Hakuna kilichokuwa kinaeleza uhusiano huo kama uhusiano baina yake na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.   Wawili hawa […]

Israeli: Demokrasia yenye dosari na ubaguzi uliozagaa

Maelezo ya Picha. Aliyekuwa Kiongozi wa Wapalestina, Yasser Arafat (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa zamani wa Comoro, Ahmed Abdallah (kushoto) na aliyekuwa Mufti wa Comoro Sayyid Muhammad Abdulrahman (kulia), wakati alipotembelea taifa hilo kwenye miaka ya nyuma.   Na Ahmed Rajab   ‘Je, Israeli ni dola la ubaguzi wa kikabila?’ Nilimuuliza […]

Israeli: Demokrasia yenye dosari na ubaguzi uliozagaa

Picha: Kiongozi wa zamani wa Wapalestina, Yasser Arafat, kwenye picha na Mwalimu Nyerere. Na Ezekiel Kamwaga Katika moja ya hotuba zake maarufu za zamani, Baba wa Taifa la Zambia, Dk. Kenneth Kaunda, alipata kuelezea uhusiano baina ya taifa lake na Tanzania kuwa sawa na ule wa pacha walioungana. Hakuna kilichokuwa kinaeleza uhusiano huo kama uhusiano […]

Namna Rais Samia ‘alivyoiteka’ India

  Na Ezekiel Kamwaga   NIANZE kwa kutumia takwimu kueleza kile nilichopanga kuandika kwenye makala haya.   Katika siku nne ambazo Rais Samia Suluhu Hassan alikaa nchini India, Oktoba 8 mpaka 11 mwaka huu, kuna siku mbili ambazo jina lake liliongoza kwa kusakwa kupitia mitandaoni na raia wa taifa hilo.   Siku ya kwanza ilikuwa […]

Netanyahu na wenzake ni chui wa karatasi

  Na Ahmed Rajab   NILIPOWASILI Gaza kwa mara ya kwanza Mei 2009 nilikuwa na hamu kubwa ya kukutana na Ismail Haniyeh, kiongozi wa Hamas (ufupisho wa Harakah al-Muqawamah al-Islamiyyah) na aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Palestina.  Hamas ni chama cha kisiasa chenye muelekeo wa Kiislamu; wafuasi wake wanafuata madhehebu ya Sunni.   Chama hicho […]

Nyerere na namna ya kudhibiti Jeshi

Na Ezekiel Kamwaga   RAIS Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa wakati mmoja kuwa ni jambo gani kubwa analodhani Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, alilifanya kiasi cha kubaki madarakani kwa muda mrefu? Pasi na kufikiri sana, Museveni alijibu; “He tamed the army” Kwa tafsiri ya haraka ya lugha ya Kiswahili, alimaanisha alilidhibiti Jeshi. […]

Mizengwe dhidi ya Maalim Seif na Dkt. Salim

Picha: Maalim Seif Sharif Hamad na Dk. Salim Ahmed wakizungumza wakati Salim akiwa Mjumbe wa Kamati ya Bunge la Katiba.   Na Ahmed Rajab   NILIWAHI kuandika kuhusu mazungumzo yangu na Mwalimu Julius Nyerere alasiri ya tarehe 5 Desemba, 1994, chumbani kwake katika hoteli ya Intercontinental, jijini Nairobi. Ilikuwa miezi saba kabla ya Chama cha […]

Ya Dk. Salim: Namuelewa Mzee Warioba, lakini….  

Picha: Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere akiwa na Dk. Salim   Na Ezekiel Kamwaga   KWENYE tukio la uzinduzi wa Makavazi ya Dk. Salim Ahmed Salim jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, Profesa Said Yahya Othman aliuliza swali gumu kwa wazungumzaji watatu katika tukio lile; kuhusu ubaguzi ulio wazi katika siasa za Tanzania.   Kama […]

Kavazi la Dkt. Salim: Jenerali Ulimwengu na Gazeti la Rai mwaka 1995

Na Mohamed Said KATIKA Kavazi la Dk. Salim Ahmed Salim anaeleza simu aliyopigiwa na Jenerali Ulimwengu tarehe 29 Machi 1995 na walizungumza kuhusu Burundi, siasa za Tanzania na Uchaguzi Mkuu wa mwaka huo. Mimi nilivutiwa na hili la Uchaguzi Mkuu wa 1995 kwa kuwa kwa njia moja au nyingine nilihusika na nilikuwa kama alivyokuwa akifanya […]