Utamjuaje Magufuli, Netanyahu au AMLO?
AKIANDIKA katika gazeti maarufu nchini Israel la Haaretz hivi karibuni, mwanahistoria maarufu, Yuval Harari, alieleza kwamba katika historia, kuna mapinduzi ya namna mbili; yale ya kutoka juu na mengine ya kutoka chini. Mapinduzi ya kutokea chini ni yale ambayo yamezoeleka zaidi. Mwanajeshi anaongoza kikosi cha askari wenzake kupindua serikali iliyoko madarakani. Au wananchi wanachukua […]















































































































































