Ni nani makomredi walioshiriki Mapinduzi ya Zanzibar 1964?
Picha: Baraza la Kwanza la Mapinduzi Zanzibar WIKI iliyopita mwandishi Salma Said alichangia katika mazungumzo ya humu mtandaoni yaliyoanzishwa na makala ya @ahmedrajab katika Gazeti la Dunia yakimzungumzia Badawi Qullatein. Salma aliandika kuwa yeye aliwahi kukutana na kuzungumza na Badawi. Akawataja pia makomredi wakuu wengine wa Umma Party aliowahi kukutana nao, kwa mfano Ali […]















































































































































