Hatumtendei haki January

Maaelezo ya picha: Waziri wa Nishati, January Makamba, akiwa katika mazungumzo na wakuu wa kampuni za Shell na Equinor mnamo Septemba mwaka 2021, siku chache tu baada ya kuteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika wadhifa huo.  Na Ezekiel Kamwaga     KAMA Tanzania ingekuwa kampuni iliyosajiliwa katika soko la hisa, wiki iliyopita hisa zake […]

Uchaguzi Uturuki: Mafunzo kwa vyama vya upinzani

Maelezo ya picha: Mgombea wa upinzani katika uchaguzi wa Uturuki, Kemal Kılıçdaroğlu (kushoto), akitembea kwenye mitaa ya Ankara Mei 19 mwaka huu.    Na Murat Sommer na Jennifer McCoy   Uchaguzi wa Rais na Wabunge nchini Uturuki uliofanyika Mei 14 mwaka huu ulikuwa mkali huku ukiweka rekodi ya watu kujitokeza kwa wingi kupiga kura. Asilimia […]

Siasa za ujenzi wa Ikulu

Maelezo ya picha: Mwonekano wa Ofisi mpya za Ikulu, Chamwino, Dodoma. Picha kwa hisani ya Ikulu.   Na Ezekiel Kamwaga   WAKATI unapoingia kwenye eneo ilikojengwa Ikulu mpya ya Chamwino mkoani Dodoma, kuna vitu viwili unaviona haraka; kwanza ni ukubwa wa eneo husika – eneo lina ekari zaidi ya 8,000 na pili ni upekee wa […]

Namna Move Forward walivyoshinda uchaguzi wa Thailand

Maelezo ya picha: Mgombea wa chama cha Move Forward, Pita Limjaroenrat, (katikati) akiwashukuru wapiga kura wake kwenye eneo la Mnara wa Demokrasia jijini Bangkok, walipokusanyika kusherehekea ushindi wa chama chao kwenye uchaguzi uliofanyika Mei 15, mwaka huu. Picha kwa hisani ya gazeti la Times la Uingereza.    Na Francesca Regalado, Bangkok   VYAMA vya upinzani […]

Malcolm X na samaki wa kupaka wa Dar es Salaam

NENO: Mei 19 mwaka huu, mpigania haki mweusi mashuhuri, Malcolm X, angetimiza miaka 98 endapo angekuwa hai hadi leo. Maisha yake yalikatishwa kikatili kwa kupigwa risasi jijini New York, Marekani, Februari 25, mwaka 1965. Makala hii imechapishwa humu kama sehemu ya kumbukumbu ya maisha yake. Mhariri   Maelezo ya picha: Malcolm X (kushoto), akizungumza na […]

Ndege mjanja hunaswa na tundu bovu

Caption: Kasisi Martin Niemoller. Picha ya Nationaal Archief     Na Ahmed Rajab   SIJUI kwa nini hasa, ingawa nina hakika sababu ninazo, lakini tangu juzi akili yangu imetekwa na ndege na kasisi.  Imekuwa ikivutwa na kuvutiwa na viumbe hivyo.     Nimekuwa nikiufikiria ujanja wa ndege na nikiyakumbuka maneno ya Martin Niemöller, kasisi wa […]

Membe ambaye hujawahi kumsikia

Caption. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, akitoa mhadhara kuhusu masuala ya kitaifa na kimataifa wakati alipozungumza na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tusiime jijini Dar es Salaam mnamo Machi 30, 2015. Picha kutoka Ofisi Binafsi ya Membe.   Na Ezekiel Kamwaga   BERNARD Kamillius Membe (69) aliyefariki dunia Mei 9 mwaka […]

Miaka 10 ijayo ya ACT Wazalendo

Na Ezekiel Kamwaga   WIKI iliyopita, chama cha siasa cha ACT Wazalendo kilitimiza miaka tisa kamili tangu kuanzishwa kwake mnamo Mei mwaka 2014. Ingawa katika muda huo kimepita katika misukosuko mingi, naamini kwamba miaka 10 inayokuja itakuwa muhimu zaidi kwake.   Kama ilivyo kwa viumbe hai vingi, chama cha siasa kina maisha ya aina tatu […]

Mifugo na Uvuvi kwa jicho la Abdallah Ulega

Na Ezekiel Kamwaga   TANGU aingie bungeni kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega, amekuwa na tabia moja inayomtofautisha na wabunge wengi – kwamba huwa haingii ndani ya viwanja vya Bunge jijini Dodoma kwa kutumia gari yake.   Badala yake huacha gari yake nje […]

Gazeti ambalo halitatoka: Kumbukumbu ya miaka 20

Na Ezekiel Kamwaga   WIKI hii nimetimiza miaka 20 tangu nianze rasmi kazi ya uandishi wa habari. Katika muda huo nimefanya kazi katika vyombo tofauti vya habari – kuanzia kampuni ya Habari Corporation iliyonipa kazi ningali kijana mdogo, na mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya Tanzania.   Nimeamua nitumie makala hii kuwakumbuka waandishi wenzangu […]