Tunarudi mbele? Diplomasia ya Rais Samia

  Na Ezekiel Kamwaga   MUONGO mmoja uliopita, nilikuwa na mazungumzo na mmoja wa maofisa waandamizi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ofisini kwake na mara akapita mtu mmoja wa makamo mbele yetu. Rafiki yangu akaniuliza “unamfahamu yule”, nikajibu hapana. Akanitajia jina la Khamis Mussa Omar, wakati huo akiwa Mjumbe wa Bodi ya BoT, na […]

La Pausa

Picha: Sehemu ya matukio yaliyotokea nchini Tanzania kama yalivyoripotiwa kwenye magazeti  ya Agosti 16, 2023. Picha kwa hisani ya mtandao wa Millard Ayo.    Na Ezekiel Kamwaga   KUTOKANA na hali ya Tanzania inayoendelea hivi sasa – hasa katika medani ya siasa, jambo moja ambalo nimelibaini ni kuwa ni kwa kiasi gani umoja wetu kama […]

Nyuma ya uamuzi wa Rais

Picha: Rais mstaafu, Jakaya Kikwete. Picha kwa hisani ya gazeti la Daily News.    Na Godfrey Dilunga   NJAA ya wadokozi ambao siku hizi ni maarufu kwa jina la mafisadi, imegharimu kwa kiasi kikubwa maisha ya raia wa kawaida nchini. Kodi anayolipa raia huyo kwa mfano, wakati anaponunua chumvi au sukari dukani imekuwa ikidokolewa na […]

Nikionacho Baraza Kivuli ACT Wazalendo

Picha: Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe. Picha kwa hisani ya Gazeti la Mwananchi     Na Ezekiel Kamwaga     MWANZONI mwa wiki hii, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, alitangaza Baraza Kivuli la Mawaziri la chama hicho lenye wajumbe 54 litakalokuwa na wajibu wa kusimamia na kuzungumzia utendaji wa […]

Ya kina Mwalimu, ‘Jibwa Kubwa’ na ‘Top Pen’

Picha: Chen Boda, aliyepata kuwa “Top Pen” wa Chama cha Kikomunisti cha China. Picha kwa hisani ya Memoires de Guerre   Na Ahmed Rajab   SI kwamba najaribu kujipendekeza kwa muasisi na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Dunia ambaye siku hizi amejipa lakabu ya ‘Top Pen’. Lakini nataka kuyaanza makala haya kwa kusema kwamba kati […]

“Mwenye bunduki halimi”

Picha: Mwandishi wa makala haya, Ezekiel Kamwaga, akihojiwa na Shirika la Utangazaji wa Rwanda kama sehemu ya jopo la waandishi wa habari wa nchi mbalimbali za Afrika walioripoti kuhusu Uchaguz Mkuu wa Rwanda wa mwaka 2017. Picha ya Maktaba Na Ezekiel Kamwaga   UMEWAHI kujiuliza ni kwa namna gani makundi mbalimbali ya waasi huwa wanaishi […]

Niger: Yaliyomo ndani na nje

Picha: Viongozi wa wanajeshi waliopindua serikali ya Niger wakitoa taarifa rasmi kwa wananchi kuhusu jambo hilo. Picha kwa hisani ya tovuti ya Al Jazeera   Na Ahmed Rajab   TANGU Jumatano iliyopita wakati Rais Mohamed Bazoum alipopinduliwa nchini Niger hadi leo Gazeti la Dunia linapoingia mtandaoni, hakuna mwenye hakika iwapo Niger imeponyoka kutoka mikononi mwa […]

Maalim Aly Basaleh: Sheikh Shujaa

Picha: Mwandishi wa taabini hii, Mohamed Said, akizungumza na swahiba yake, Sheikh Aly Basaleh, enzi za uhai wake, katika moja ya mazungumzo waliyofanya nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Picha kwa hisani ya Mohamed Said   Na Mohamed Said   Nimepata taarifa ya kifo cha Sheikh Aly Basaleh msikitini petu Masjid Nur baada ya Sala […]

Othman: SUK, Rais Mwinyi, Maalim Seif, Muungano na ajira Zanzibar

Picha: Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Othman Masoud (kulia), akizungumza na Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Dunia, Ezekiel Kamwaga, kwenye mahojiano maalumu ofisini kwake kuhusu tathmini ya Nusu Muhula wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) baina ya vyama vya CCM na ACT Wazalendo visiwani humo. Picha na Ofisi […]

Ole wetu Samia akihamia upande wa pili

Picha: Rais Samia Suluhu Hassan     Na Ezekiel Kamwaga     KUJENGA msingi wa hoja yangu kwenye makala haya, ni muhimu kurejea nyuma miaka minane iliyopita.   Mwaka 2015, Tanzania ilifanya Uchaguzi Mkuu. Katika uchaguzi huo, vyama vya upinzani vilipata takribani asilimia 40 ya kura zote – zikiwa ni kura nyingi kuliko wakati mwingine […]