Tatizo la Dk. Slaa
Picha: Dk. Wilbrod Slaa. Kwa hisani ya The Citizen Na Ezekiel Kamwaga MWAKA 2015, akiwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa wanasiasa wanaoheshimika sana nchini Tanzania, Dk. Wilbrod Slaa, alitangaza kupingana na hatua ya chama chake kumkaribisha Edward Lowassa kwenye chama hicho na kumfanya kuwa mgombea urais […]















































































































































