Bandari inavyorarua vazi la Nyerere
Na Peter Nyanje KATI ya mambo yaliyoibuka kwa hisia kali kwenye mjadala wa uwekezaji katika bandari nchini ni suala la Muungano. Ingawa hivi sasa hoja hii inaonekana kama imekufa pengine kwa sababu haikuwa katika kiini cha mjadala yaani vifungu vya mkataba, lakini hisia zilizotolewa kwenye kulijadili suala hilo zimeacha makovu ambayo pengine […]















































































































































