Kujenga au kubomoa si usanii, ni siasa
Na Ezekiel Kamwaga KUNA uhusiano wowote kati ya siasa na majengo? Kuna uhusiano wowote baina ya viongozi na matukio ya kujenga au kubomoa vitu? Jibu langu ni ndiyo na makala yangu hii itaeleza juu ya mifano na namna kujenga au kubomoa kunavyoweza kumjenga mwanasiasa au utawala mbele ya wananchi wake. Ninaandika makala […]















































































































































