January, uwaziri na mengine
Na Ezekiel Kamwaga KATIKA kipindi cha takribani miaka 60 ya nchi yetu – na pengine duniani kwa ujumla, P mbili; Perfomance and Politics (Siasa na Utendaji), zimeamua uwepo wa waziri au mawaziri kwenye Baraza la Mawaziri. Rais anaweza kumbadili au kubadili mawaziri kwa sababu ya utendaji wao mbovu au kwa sababu […]















































































































































